Habari za Punde

Kuagwa kwa wafanyakazi wastaafu wa Shirika la Bandari Pemba BAADHI ya wafanyakazi wa Shirika la Bandari kisiwani Pemba, waliohudhuria hafla ya kuagwa kwa waliokuwa wafanyakazi wenzao 12, hafla hiyo ilifanyika jana bandari ya Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MENEJA Utumishi wa Shirika la Bandari Zanzibar tawi la Pemba Adam Ali Haji, akisoma riasala maalum, kwenye hafla ya kuungwa kwa waliokuwa wafanyakazi 12 wa shirika hilo, ambao wameshataafu kazi, hafla hiyo ilifanyika Bandarini Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WALIOKUWA wafanyakazi wa shirika la bandari Kisiwani Pemba, wakiwa kwenye hafla ya kuagwa kwao, iliofanyika ofisini kwao Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MKURUGENZI shirika la bandari tawi la Pemba Hamad Salim Hamad, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga waliokuwa wafanyakazi wa shirika hilo kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 ALIEKUWA mfanyakazi wa shirika la bandari kisiwani Pemba, Salim Said Sleyum, akipokea cheti cha utendaji kazi na fedha taslim shilingi milion 3.5 kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Micheweni Abeid Juma Ali, zilizotolewa na shirika la bandari, hafla ya kuungwa kwa wafanyakazi 12 ilifanyika mjini Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 ALIEKUWA mfanyakazi wa shirika la bandari kisiwani Pemba, Abuu Juma Makame, akipokea cheti cha utendaji kazi na fedha taslim shilingi milion 2, kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Micheweni Abeid Juma Ali, fedha zilizotolewa na shirima la bandari, hafla ya kuungwa kwa wafanayakazi hao 12 ilifanyika mjini Wete, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WALIOKUWA wafanyakazi wa shirika la bandari kisiwani Pemba, wakiwa na baadhi ya watendaji wa shirika hilo na mkuu wa wilaya ya Micheweni Pemba, wakiwa kwenye picha ya pamoja, mara baada ya hafla ya kuagwa kwa wafanayakazi hao wastaafu hao 12, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.