MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, June 24, 2016

Misikiti inapojaa mwezi wa Ramadhaan!

Baadhi ya Vijana wakiswali katika ukuta wa jengo la Redio Zanzibar, wakati wa sala ya Ijumaa baada msikiti huo kujaa watu Siku za mwezi Mtukufu wa Ramadhani misikiti hujaa waumini katika sala