Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Wajumbe Wakichangia Hutuba ya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo.

 
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakichangia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi akichangia Bajeti ya Wizara ya Habari 
 Wasaidizi wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia michango ya Wajumbe wakati wa Mkutano huo.
Wasanii wa Filamu Zanzibar wakifuatilia michango ya Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo wakiwa sehemu ya wageni katika ukumbi huo wa Baraza  
Wasanii wa Filamu Zanzibar wakifuatilia michango wakati wa kuchangiwa Wizara ya Habari Zanzibar.
Watendaji wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo wakifuatilia kwa makini michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Wakuu wa Idara za Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo wakifuatilia michango hiyo. 
Mwakilishi wa Jimbo la Welezo Zanzibar Mhe. Hassan Hafidh akizungumza na Wasanii wa Filamu Zanzibar wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa baada ya kumalizika michango ya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.