MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, June 7, 2016

Mafunzo kwa wajumbe wa Saccos yafanyika kisiwani Pemba

 WAJUMBE wa SACCOS Kisiwani Pemba wakiwa kwenye mafunzo ya siku tatu yaliofanyika skuli ya Michakaini Chakechake, (Picha na Bakar Mussa, Pemba).
MKUU wa wilaya ya Chakechake Salama Mbarouk Khatib akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wajumbe wa SACCOS kisiwani Pemba yaliofanyika skuli ya Michakaini Chakechake , (Picha na Bakar Mussa Pemba).