Habari za Punde

Makamo Mwenyekiti wa CCM azungumza na viongozi wa CCM Wilaya ya Dimani

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Dimani leo wakati alipowasilli katika viwanja vya CCM Mkoa Amani wakati alipohudhuria katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo  kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.

 Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa  Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,  kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.

 Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakinyoosha mikono juu kuunga mkono hotuba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa  Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya hiyo uliofanyika leo  katika ukumbi CCM Mkoa Amani,kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi wa CCM wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.