Meneja wa Kitengo shirikishi cha Ukimwi, Kifua Kikuu na Ukoma Pemba, dk Abdalla Omar Hassan, akifungua mkutano wa siku moja kwa masheha, waandishi wa habari, viongozi wa dini na wa Asasi za Kirai, juu ya njia za kuzuia maambukizi ya VVU, kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, yaliofanyika Maabara ya afya ya Jamii Wawi,
MSHIRIKI wa
mkutano wa kujadili njia za kuzuia maambukizi ya VVU, kutoka kwa mama kwenda
kwa mtoto, Abdalla Abeid, akichangia jambo, kwenye mkutano huo uliofanyika
Maabara ya afya ya Jamii Wawi.
MSHIRIKI wa mkutano wa kujadili njia za kuzuia
maambukizi ya VVU, kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, mtangaazaji wa sauti ya
Isqama Pemba, Salum Ali Msellem, akichangia jambo, mkutano huo uliofanyika
Maabara ya afya ya Jamii Wawi, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment