Habari za Punde

Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar.

Mufti Mkuu wa Zanziubar Shekh Saleh Omar Kabil akiwa na Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar katika Mashindano ya Kimataifa yaliofanyika Masjid Afraa Bint Issa Kidongochekundu Zanzibar. wakisikiliza Wanafunzi wakisoma Quran katika mashindano hayo. 
 Mwanafunzi kutoka Zanzibar, Nassir Rashid Seif (15) akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii akiwa ameshinda nafasi ya Pili kwa kupata Alama 98.
Mwanafunzi kutoka Zanzibar Masoud Khamis Sultan( 14), akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii, ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo kwa kupata alama 99. 
Mwanafunzi kutoka Zanzibar Ali Khamis Mohammed (23)akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30-Tashjii yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar, ameshinda nafasi ya tatu kwa kupata alama 90. katika mashindano hayo yaliowashirikishwa Wanafunzi watatu kutoka Zanzibar.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.