Habari za Punde

Mikarafuu yakatwa Pemba na watu wasiofahamika

 BAADHI ya mikarafuu tisa inayomilikiwa na sheha wa shehia wa Kendwa wilaya ya Mkoani Sabiha Mohamed Ali, ambayo ilikatwa katwa juzi Juni 8, na watu wasiofahamika kwenye shamba lake liliopo Kwakunga shehiani humo ambapo hilo ni tukio la tatu na kuifanya idadi ya mikarafuu 22 kuhujumiwa ya sheha huyo, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

 MKUU wa ilaya ya Mkoani Pemba Suleiman Hemed Abadlla akikagua baadhi ya mikarafuu iliyoktwa ikiwa ni milki ya  sheha wa shehi ya Kendwa wilayani humo, akielezea mkasa wa kukatwa kwa Mikarafuu yake tisa, hapo juzi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MKUU wa wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman Abdalla akimsikiliza sheha wa shehia ya Kendwa Sabiha Mohamed Ali, wakati alipofika kwenye shamba lake kushuhudia hujuma ya ukatwaji wa Mikarafuu tisa na watu wasiofahamika hapo juzi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.