WANANCHI na wafanya biashara mbali mbali kisiwani
Pemba, wakiwa katika mnada wa bidhaa za futari, kama vile ndizi mbichi, Mihogo
na Majimbi katika soko la Chake Chake wakitafuta futari zao, licha ya bidhaa
hizo kupanda bei maradufu.(Picha na
Abdi Suleiman, Pemba.)
WANANCHI na wafanya biashara mbali mbali kisiwani
Pemba, wakiwa katika mnada wa bidhaa za futari, kama vile ndizi mbichi, Mihogo
na Majimbi katika soko la Chake Chake wakitafuta futari zao, licha ya bidhaa
hizo kupoanda bei maradufu.(Picha na
Abdi Suleiman, Pemba.)
BIDHAA za ndizi mbivu ambazo katika mwezi Mtukufu wa
Ramadhani huwa maarufu, zimepanda bei kwa mkungu mmoja kuuzwa kati ya
30000,25000 hadi 20000, ikitegemewa na ukubwa wa mkungu, kama zinavyoonekana
katika picha.(Picha na Abdi Suleiman,
Pemba.)
No comments:
Post a Comment