Habari za Punde

Mwakilishi Jimbo la Malindi atoa msaada Sheia ya Gulioni

 MWAKILISHI wa Jimbo la Malindi, Mohamed Ahmada Salum pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Maliasili na Usafirishaji Zanzibar akizungumza na Msaidizi wa Sheha wa Shehiya ya Gulioni Amour Abdalla Amour (kulia) kabla ya kumkabidhi Msaada huo.
 MWAKILISHI wa Jimbo la Malindi Mohamed Ahamada Salum  akimkabidhi fedha taslimu (sh.1,300,000)  Msaidizi wa Sheha wa Shehiya ya Gulioni Amour Abdalla Amour kwaajili ya ununuzi wa vifaa vya bomba la maji lililopasuka Mtaa wa Mfenesi Mazizi Shehiya ya Gulioni Mjini Zanzibar.
 MSAIDIZI wa Sheha wa Shehiya ya Gulioni, Amour Abdalla Amour akimshukuru  Mwakilishi wa Jimbo hilo mara baada ya kukabidhiwa msaada huo.
MWAKILISHI wa Jimbo la Malindi Mohamed Ahmada Salum akijionea sehemu ya maji  inayovujisha Hapo Mfenesi Mazizi Shehiya ya Gulioni Mjini Zanzibar.(picha na Abdalla Omar - Habari Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.