Habari za Punde

Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Azungumzia Matukio ya Kihalifu Yaliotokea Mkoa wa Kusini Pemba.

Naibu  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani)  kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba na kuahidi kuyashughulikia. Kulia ni Kamishna  wa  Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame.
Kamishna  wa Jeshi la  Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani)  kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar.
Makamanda wa Jeshi la Polisi na waandishi wa habari wakimsikiliza Naibu  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni   katika mkutano   kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba. (Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.