Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, Azungumza na Balozi Mdogo wa China Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Sein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang alipofika Ikulu Mjni Zanzinar leo kwa ajili ya kuaga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Sein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang alipofika Ikulu Mjni Zanzinar leo kwa ajili ya kuaga,[Picha na Ikulu.] 14/06/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.