Habari za Punde

siku ya mtoto wa afrika zilivyofana katika Viwanja vya Jakaya Kikwete youth park

 Watoto wakifuatilia mchezo wa mpira wakati wa Siku ya Mtoto wa Afrika katika maadhimisho yaliofanyika katika viwanja vya michezo vya JK .
  Watoto mbalimbali wakishiriki katika Siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa  Afrika Jijini Dar es Salaam wakiangalia mpira katika viwanja vya JK 
 Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo , Woinde Shishael Akizungumza na waandishi wa habari
Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo , Woinde Shishael akikabidhi hundi ya mfano ya dola 12,000/ kwa Mtendaji mkuu wa Csema , Kiiga Joel, wakati wa sherehe za siku ya mtoto wa Afrika katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park.
 Bahadhi ya watoto wakiwa uwanjani
  Maxence M. Melo wa Jamii Forum akiwa katika picha na
Mtendaji mkuu wa Csema , Kiiga Joel

 watoto katika michezo mbalimbali
 Watoto katika picha ya Pamoja
  Maxence M. Melo wa Jamii Forum akiwa katika picha na
Mtendaji mkuu wa Csema , Kiiga Joel
Mmoja ya watoto  wakiwa katika michezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.