Monday, July 18, 2016

Kituo cha Utafiti cha Kizimbani Wilaya ya Magharibi Unguja

Baadhi ya bengu za Mpunga ukiwa katika utafiti katika Kituo cha Kilimo Kizimbani Zanzibar kituo hicho hufanya utafiti wa mazao mbalimbali ya kilimo Zanzibar.