Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe Samia Akihudhuria Mkutano wa 27 wa AU Nchini Kigali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano wa 27 kwa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Wanachama wa Umoja wa Afrika AU ulioanza jana katika Ukumbu wa KCC mjini Kigali Rwanda. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.