Monday, July 18, 2016

ZIFF Yatowa Elimu kwa Watoto Kutengeneza Filamu za Vikatuni kwa Watoto

Mratibu wa Warsha ya Utegenezaji wa Vikaragosi juu Haki za Binaadamu Bi Ebele Okoye,akiongoza mafunzo ya Watoto kutengeneza Filamu za Vikatuni kwa watoto mbalimbali walioshiriki mafunzo hayo kwa Wanafunzi wa Skuli za Msingi Zanzibar wakati wa Tamasha la 19 la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) yaliofanyika katika Kituo cha Muziki Forodhani Zanzibar.  No comments:
Write Maoni