Wajumbe wa mkutano mkuu wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakipiga kura zao ili kupata viongozi watakao waongoza kwa muda wa miaka 3 ijayyo.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akifunguwa Mkutano mkuu wa Baraza la Vijana Taifa, Wilaya ya Chake Chake huko katika ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba.
Mgombea Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya Chake Chake , Bakar Hamad Bakar, akiomba kura kwa Wajumbe wa mkutano huo.
Mgombea wa nafasi ya Baraza Vijana Taifa , Wilaya ya Chake Chake Pemba, Aisha Rashid Ali, akiomba kura kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa Baraza hilo .
Mgombea Kamati tendaji wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya chake Chake , akiomba kura kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa baraza hilo Wilayani humo uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba.
Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Baraza la Taifa la Vijana Wilaya ya Chake Chake , akitia kura yake kwenye sanduku la kupigia kura mara baada ya kupiga kura yake.
Picha na bakar Mussa -Pemba.
No comments:
Post a Comment