Habari za Punde

Wanafunzi Skuli ya Sekondari Madungu wafanya ziara maeneo ya kitalii

 MDHAMINI wa Kamisheni ya Utalii Kisiwani Pemba, Mwalimu Suleiman Amour akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari Chake Chake Pemba, kabla ya kuanza ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya kitalii, ikiwe ni mwendelezo wa uhamasishaji wananchi juu ya utalii wa ndani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANAFUNZI wa skuli ya Sekondari Madungu Chake Chake Pemba, wakipata maelezo juu ya jinsi gani Popo walivyokuwa na faida kwa wananchi wa Mjini Ole, kutoka kwa Khalid Kombo ambaye ni mtembeza wageni katika eneo la ufugaji wa popo Mjini Ole.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).
 MTEMBEZA watalii katika eneo la Ufugaji wa Popo Mjini Ole Khalid Kombo, akiwafahamisha wanafunzi wa skuli ya Sekondari Madungu jinsi gani popo walivyokuwa na thamini kwao, mara baada ya wanafunzi hao walivyotembelea msitu wa kidike.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).

 MOJA ya vivutio vya Utalii vilivyopo kisiwani Pemba ni uwepo wa Popo wa asili katika msitu wa asili wa Kidike, picha popo wakiwa wametulia katika msitu huo kama wanavyoonekana wakiwa katika miti mbali mbali.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).

  MOJA ya vivutio vya Utalii vilivyopo kisiwani Pemba ni uwepo wa Popo wa asili katika msitu wa asili wa Kidike, pichani popo wakiwa wametulia katika msitu huo kama wanavyoonekana wakiwa katika miti mbali mbali.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).
 WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Sekondari Kisiwani Pemba, wakitoka katika msitu wa wa asili wa Mjini Ole kujionea jinsi gani popo wanavyoingiza vutia wataali kwenda kutembelea msitu huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).
MOJA ya vivutuo vya Utalii vilivyopo kisiwani Pemba ni uwepo wa Popo wa asili katika msitu wa asili wa Kidike, picha popo wakiwa wametulia katika msitu huo kama wanavyoonekana wakiwa katika miti mbali mbali.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.