AFISA Mdhamini mpya wa Wizara ya Habari,
Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja akimkaribisha Naibu
waziri wa Wizara hiyo, Mhe: Chumu Kombo Khamis ili kuzungumza na wakuu wa Idara
zilizomo ndani ya wizara hiyo kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nasor, Pemba).
BAADHI ya wakuu wa Idara zilizomo ndani ya
Wizara ya Habari Pemba, wakimsikiliza Naibu Waziri wa wizara hiyo Zanzibar Mhe:
Chumu Kombo Khamis, wakati alipojitambulisha kwa uongozi wa wizara hiyo
kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
NAIBU Waziri wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni
na Michezo Zanzibar Mhe: Chumu Kombo Khamis akizungumza na wakuu wa Idara za
wizara hiyo kisiwani Pemba, kwenye mkutano uliofanyika makao makuu ya wizara
hiyo mjini Chakechake Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba
No comments:
Post a Comment