Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu atembelea na kuzungumza na wanachama wa Saccos, Tibirinzi

 NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungumza na viongozi wa Vijana Saccos Iliyopo Msingini Chake Chake Pemba, wakati alipotembelea Saccos hiyo kuangalia maendeleo yake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa Pemba Saccos Salum Haji Mwadini, akisoma taarifa fupi ya Saccos yao kwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe;Mauwa Makame Rajab, wakati alipofanya ziara ya kuitembelea Saccos hiyo iliyopo Tibirinzi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANACHAMA wa Pemba Saccos Iliyopo Tibirinzi Chake Chake Pemba, wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe:Mauwa Makame Rajab wakati alipokuwa akizungumza wanachama wa Saccos hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MMOJA wa Viongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, wakwanza kutokea kushoto akikagua mfumo wa utunzaji wa Fedha katika Pemba Saccos Iliyopo Tibirinzi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungumza na viongozi wa Pemba Saccos Iliyopo Tibirinzi Chake Chake Pemba, wakati alipotembelea Saccos hiyo kuangalia maendeleo yake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.