Habari za Punde

Mikutano mkuu wa chama cha waandishi wa habari za mazingira wafanyika Dar

 KATIBU mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) John Chikomo, akisoma miniti za mkutano mkuu wa mwaka 2015, kwa wanachama wa chama hicho katika mkutano mkuu wa mwaka 2016 uliofanyika katika Lion Hotel Sinza Dar es Salam.(Picha na Abdi Suleiman, Dar es Salam.)
 WANACHAMA wa Chama Cha Waandishi wa Habari za mazingira Tanzania (JET), wakipitia miniti za mkutano mkuu wa mwaka 2015 baada ya kufunguliwa kwa mkutano mkuu wa mwaka 2016 uliofanyika katika hoteli ya Lion Hotel Sinza Dar es Salam.(Picha na Abdi Suleiman,Dar es Salam.)

MWENYEKITI wa Chama Cha waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), Dr Ellen Otaru akizungumza na wanachama wa chama hicho, katika mkutano mkuu wa mwaka 2016 uliofanyika katika hoteli ya Lion Hotel Sinza Dar es Salam.(Picha na Abdi Suleiman, Dar es Salam.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.