MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, July 26, 2016

Uwekaji wa tartan uwanja wa Gombani wakamilika


Mradi wa kuweka tartan Uwanja wa Gombani Pemba wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 40, 000 kwa sasa umemalizika  kama inavyoonekana katika picha. Tartan hiyo iliwekwa kwa msaada wa serikali ya China.