Habari za Punde

Dk Shein alipoagwa akiwa safarini kuelekea Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa kiafya

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali akiagwa na Makamu wa ili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Mjini Dar es salaam akielekea Nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa Kiafya.

Balozi Seif akimuaga Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika chumba cha watu mashuhuri {VIP } kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam Jijini Dar es salaam.

Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.