Habari za Punde

Kongamano la Diaspora Zenj Lafana

Afisa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Mohammed Nuhu akitowa maelezo wakati wa mkutano wa Kongamano la Tatu la Watanzania wanaoishi Nje Diaspora hutuma zinazotolewa na PBZ kwa Wananchi wa Ndani na Nje ya Nchi na jinsi ya kufaidika na huduma hizo. Kupitia PBZ.
Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora wakifuatilia Kongamano hilo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, wakimsikiliza Afisa wa PBZ Masoko akitowa maelezo kwa Wanadiaspora hao vipi wanafaidika kutumia PBZ. wakiwa nje ya Zanzibar na Tanzania.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.