Gari ya Wizara ya Mawasiliano Ujenzi na Usafirishaji Pemba,
likimimina lami katika gari maalumu, wakati wa uwekaji wa lami katika barabara
ya Mgagadu-Kiwani.
Gari Maalumu ya kuweka lami katika Barabara ikiweka lami katika moja ya barabra ya mgagadu kwenda kiwani, barabra hiyo inawekwa lami mpya kipande cha kilimita 3.6.
Wafanyakazi wa
Kitengo cha Barabara (UUB)kutoka Wizara ya Miundombinu Mawasiliano na
Usafirishaji Kisiwani Pemba, wakimwaga lami baadhi ya sehemu amabzo hazijakaa
sawa, wakati wa uwekaji wa lami Kilomita 3.6 katika barabara ya Mgagadu-Kiwani
Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba(Picha na Abdi Suleiman)
No comments:
Post a Comment