MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, August 21, 2016

Mafundi Wakiweka Mabomba ya Maji Kuimarisha Miundombinu ya Barabara za Ndani ya Mitaa ya Unguja.

Mafundi wa wakiweka mabomba kwa ajili ya kupisha kuweka lami barabara ya Misufini kwenda Biziredi barabara hiyo inafanyiwa ukarabati mkubwa wa kuwekwa lami ili kutowa huduma kwa wananchi wa maeneo hayo.