Habari za Punde

Msimu wa Utalii Zenj Ukiwa Umepamba Moto kwa Wageni Wengi Kufika Zanzibar.

Zanzibar ni moja ya Vivutio vya Watalii kutoka sehemu mbalimbali Duniani hifika Zanzibar kwa ajili ya kutembelea sehemu za historia ya Nchi hiyo kama wanavyoonekana Wageni hawa wakiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar katika mtaa wa mkunazini wakiangalia Mbuyu ukiwa uko ndani ya Mji wa Zanzibar ni moja ya kivutio cha Watalii wanaofika Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.