MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, August 21, 2016

Matukio Mitaani Zenj.

Taa za kuongozea magari katika barabara ya Mkunazini zikiwa haziruhusu kupita kwa magari baadhi ya madereva hupuuza taa hizo kwa kutaka kuwahi kukatisha. Inahitajika kutoa elimu ya matumizi ya taa hizo kwa madereva ili kuepusha ajali.   
 Inahitajika kutowa Elimu kwa Wananchi na Watumiaji wa Barabara katika maeneo ya Mji wa Unguja kuepusha ajali na athari nyenginezo kwa kupuuza alama za kuongozea magari katika barabara hizo, Kama inavyooneka hapa ni kila mtu anataka kuwahi huku taa za kuongozea magari zikiwa bado kuruhusu kutumika kwa watumiaji wa gari katika makutano ya barabara ya mkunazini michezani