MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, August 21, 2016

Wananchi katika Eneo la Marikiti Darajani Wakiangalia Samaki Aina ya Chewa.

Wananchi  wakiwa katika marikiti kuu ya darajani wakiangalia samaki aina ya Chewa aliyevuliwa katika bahari ya Nungwi Zanzibar akiwa katika marikiti hiyo baada ya kuuzwa kwa shilingi laki sita katika mnada huo anakaribiwa kuwa na uzito wa kilo 85. Akichunwa ngozi kwa ali ya kuuzwa kwa wananchi.