Thursday, August 18, 2016

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi Katika Hitma ya Kumuombea Marehemu Alhajj Aboud Jumbe Mwinyi katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar