Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa China Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiagana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya  mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.