Habari za Punde

Watoto walio katika mazingira magumu kupatiwa kadi za bima ya Afya kisiwani Pemba

 MKUU wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman Abdalla, katikati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Mkoani, juu ya ujazaji wa fomu za watoto walio katika mazingira magumu, kwa lengo la
kupatiwa kadi za bima ya Afya.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
 WAZAZI na Walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu Wilaya ya Mkoani, akimsikiliza Mkuu wa Wilaya hiyo Hemed Suleiman Abdalla, wakati alipokuwa akizungumza nao juu ya umuhimu wa ujazaji wa fomu za kupatiwa kadi za bima ya afya.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)

 KATIBU Tawala Wilaya ya Chake Chake Abdalla Rashid Ali, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chake Chake juu ya ujazaji wa fomu za kupatiwa kadi za bima ya afya kwa watoto wanaishi katika amzingira magumu.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
 MAKAMO mwenyekiti wa jumuiya ya kusaidia jamii Zanzibar Shadia Haji Omar, akimjazisha fomu mmoja wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa Wilaya ya Chake Chake.(Picha na Hanifa
Salim, PEMBA.)
MJUMBE wa kamati Tendaji wa Jumuiya ya kusaidia Jamii Zanzibar Leila Burhan Ndondi, akimjazisha fomu mmoja wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa Wilaya ya Chake Chake.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.