Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zenj.

 
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa, katikati Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mhe Issa Haji Gavu kulia Mwakilishi wa Mfenesini Mhe Machano Othman na kushoto Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Mhe, Mihayo Juma Nhunga, wakifurahia jambo.  
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Said Soud Said na Mhe Ali Juma Khati wakiondoka katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar baada ya kuahirishwa kwa mapumziko baada ya kusomwa kwa mswada leo asubuhi na kuchangia.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakibadilishana mawazo wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Baraza baada ya kuahirishwa. 
Mhe Haji Omar Kheir na Mhe. Mohammed Aboud Mohammed wakitoka katika jengo la Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirishwa kwa Mkutano huo ulioanza juzi kwa maswala na majibu na kuwasilishwa miswada ya Sheria kwa Wajumbe wa Baraza. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.