Habari za Punde

Ofisi ya Mtakimwi Mkuu wa Serikali Yatoa Taarifa ya Mfumko wa Bei Zanzibar

Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa  Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
Meneja wa Uchumi katika Benki kuu Tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele lugobi akitolea ufafanuzi wa maswala katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana  na Mfumuko wa  Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo  katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar
Mwandishi mwandamizi wa ITV Farouk Karim akiuluza maswali kwa Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri  kuhusiana  na Mfumuko wa  Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo  katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar(Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.