Tuesday, September 20, 2016

Wafanya Biashara Pemba Waelimisha Mabadiliko ya Sheria ya Kodi Zanzibar.

Washiriki wa Mkutano wa Wafanya Biashara kisiwani Pemba wakiwa katika mkutano wa kutowa Elimu ya Mabadiliko ya Sheria ya Kodi kutoka kwa Maofisa wa TRA na ZRB. Mkutano huo umewashirikisha Wafanya biashara kisiwani huo kupata uelewa wa kulipa Kodi, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Archipelago Pemba.
(Picha na Bakar Mussa-Pemba.)


No comments:
Write Maoni