Habari za Punde

WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR KUPITIA SHIRIKA LA (UNIDO) YATOA MAFUNZO YA UANDAAJI WA SERA MPYA YA VIWANDA

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akifunga mafunzo ya wiki moja ya uandaaji wa sera mpya ya Viwanda Zanzibar yaliyojumuisha watendaji wa Serekali na wamiliki wa viwanda katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Zanzibar.
 Afisa miradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Andrea Antonelli akitoa maelezo mafupi kwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Amina Salum Ali juu ya mafunzo ya wiki moja ya uandaaji wa sera mpya ya Viwanda Zanzibar yaliyofanyika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.