Habari za Punde

Chama cha AD-TADEA Chaunga Mkono Kauli ya Wiziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Kufanya Siasa katika Misikiti.

Katibu Mkuu wa Chama cha ADO TDEA Mhe. Juma Ali Khalib ameunga mkono kauli iliyotolea na Waziri wa Nzhi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kuacha Vyama vya Siasa kuzungumzia siaka katika misikiti, Mhe Juma aliyesema hayo wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari kulaani hatua hiyo kwa baadhi ya Wanasiasa kuzungumza siasa katika misikiti na kutokuunga mkono kauli iliotolewa na Viongozi wa Siasa kulaani kauli hiyo. hayo ameyazungumza katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Rahaleo Zanzibar. 
 Katibu Mkuu wa Chama cha ADA-TADEA  na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Juma Ali Khatib akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake huo na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa kina mkutano huo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Rahaleo Zanzibar.

1 comment:

  1. nyie CCM B tunajua mutaunga mkono tu, na msikitini tu ndio tatizo makanisani hamna tatizo, nyie vichwa ngumu munasahao mara moja

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.