Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikaribishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama alipowasili Katika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu,katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Dk.Titus Kamani mara alipowasili katika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu,katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,(katikati)Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama [Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Vijana Chipukizi mara alipowasilikatika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu,katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,(katikati)Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama [Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Dini mbali mbali mara alipowasilikatika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu,katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,(katikati)Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama [Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisimama katika jukwaa maalum pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara alipowasili katika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu jana, [Picha na Ikulu.]15/10/2016. Vijana wa Halaiki wakisimama wakiimba wimbo wa Taifa katika sherehe ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika jana viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu,[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama (katikati) wakiangalia mitindo mbali mbali ya vijana wa halaiki Katika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu,katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka na (kushoto) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico, [Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana katika viwanja vya Halmashauri ya Bariadi mkoani Simiyu, [Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi wakiwa katika viwanja vya Halamashauri wakiwangalia harakati wakati wa sherehe za Kilele cha mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika Mkoani Simiyu sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi wakiwa katika viwanja vya Halamashauri wakiwangalia harakati wakati wa sherehe za Kilele cha mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika Mkoani Simiyu sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.
Viongozi mbali mbali mbali wa Mkoa wa Simiyu wakiwa katika sherehe za Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika Mkoani Simiyu sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana zilizofanyika katika viwanja vya halmashauri ya Bariadi,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.
Vijana wa Halaiki wakionesha Picha ya Baba wa Taifa Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika sherehe kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika viwanja vya Halamashauri ya Bariadi Mkoani Simiyu,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa, sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati mawlimu Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika jana vuiwanja vya Halamshauri ya Bariadi Mkoa wa Simiyu,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) akiwa na viongozi mbali mbali katika sherehe za Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika Mkoani Simiyu sambamba na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika jana katika viwanja vya halmashauri ya Bariadi ,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati aliyeshika mwenge wa uhuru) akiwa katika picha ya pamoja na wakimbizaji wa mwenge huo baada ya sherehe za kilele cha mbio hizo na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati mawlimu Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika jana vuiwanja vya Halamshauri ya Bariadi Mkoa wa Simiyu,[Picha na Ikulu.] 15/10/2016.
No comments:
Post a Comment