Habari za Punde

Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Watimiza Ahadi kwa Wananchi wa Jimbo Lao Shehia ya Rahaleo

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Eng. Hamad Masauni akizungumxza na Wananchi wa Jimbo lake Shehia ya Rahaleo wakati wa kukabidhi misaada kwa ajili ya Wananchi wa shehia hiyo kwa Vikundi vya Vijana na Vyuo vya Madrasa na Vilabu vya mpira jimboni humo. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mfereji kawambwa rahaleo.  
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira akitowa shukrani kwa Wananchi wa Shehia ya Rahaleo wakati wa kutimiza ahada kwa wananchi wa jimbo hilo na kukabidhi fedha na vifaa kwa ajili ya vikundi vya Vijana na madrasa.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.