MKURUGENZI Mkaazi wa UN Tanzania
Alvaro Rodriguez, akitowa salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, wakati wa maadhimisho
ya miaka 71 ya UN waliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mazizini Zanzibar
Waziri Vijana Uwezeshaji Wanawake na Watoto Mhe.
Moudline Castico akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 71 ya Umoja wa
Mataifa akimuwakilisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki
Pembe, wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichofanyika katika ukumbi wa
Hioteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
No comments:
Post a Comment