ASKARI wa Usalama wa Barabarani kutoka kituo cha
Polisi Madungu Chake Chake, akikagua moja ya Vielelezo vya mwendesha Vespa
vinavyomruhusu kuendesha chombo barabarani, wakati wa ukaguzi uliofanywa na
jeshi hilo hivi karibuni Kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mbunge Ummy Mwalimu alivyoleta tabasamu kwa bodaboda Tanga kupitia leseni
za udereva
-
Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga
Usalama wa maisha ya binadamu ni jambo la msingi sana, na ndiyo maana
unapaswa kulindwa kwa gharama zote. Katika suala la...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment