Habari za Punde

Zanzibar Leo wajiandaa na makaazi mapya

 Dereva mkuu wa Shirika la magazeti ya Serikali , Jamhuri Ameir Simai , akifanya usafi katika jengo ambalo linatarjiwa kuhamiwa na Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar leo- Zanzibar huko katika eneo la Kikwajuni njini Unguja.

Mhariri Mtendaji wa Shirika la magazeti ya Serikali Zanzibar leo, Yussuf Khamis, akishauriana jambo na Mhariri Mkuu wa Shirika hilo, Ramadhani Makame, wakati walipokuwa wakingalia Jengo hilo kufuatia agizo la Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein kulitaka shirika hilo kuhamia huko.

Picha na Bakar Mussa -Zanzibarleo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.