Habari za Punde

Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi raajiuun

Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi raajiuun


Mh  Saleh Ramadhan Feruzi aliyewahi kuwa Naibu katibu wa CCM Zanzibar amefariki dunia kwa mujibu wa taarifa za wanafamilia. Mpaka alipofikwa na umauti alikuwa ni Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.

Hakika sote ni wa Allah na marejeo yetu ni kwake. Allah amsamehe makosa yake na awape subra wafiwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.