JENGO la Mahakama kuu Chakechake Pemba,
ambalo hivi karibuni, lilifanyiwa matengenezo makubwa na linatarajiwa
kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk, Ali
Mohamed Shein, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
UJUMBE wa Idara za mahakama na Naibu waziri wa wizara
ya nchi afisi ya rais, Katiba, sheria, utumishi wa umma na utawala bora
Zanzibar, ukielekea kwenye jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, kwa ajili ya
kuanza ziara ya siku mbili kisiwani Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
UJUMBE wa Idara za mahakama na Naibu waziri wa wizara
ya nchi afisi ya rais, Katiba, sheria, utumishi wa umma na utawala bora
Zanzibar, ukielekea kwenye jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, kwa ajili ya
kuanza ziara ya siku mbili kisiwani Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
MRAJISI wa Jimbo mahakama kuu Pemba, Hussein Makame
Hussein (mwenye koti), akisalimiana na Naibu waziri wa nchi afisi ya rais
Katiba, sheria, utumishi wa umma na utawala bora, Zanzibar Khamis Juma Malim,
wakati alipofika kwenye jengo hilo la mahakama lililofanyiwa matengenezo
makubwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MRAJISI wa Jimbo mahakama kuu Pemba, Hussein
Makame Hussein, akitoa maelezo juu ya chumba cha mahakama kuendesha kesi,
kwenye jengo la mahakama kuu Pemba, baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa
jengo hilo, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
NAIBU waziri wa wizara ya nchi afisi ya rais Katiba, sharia, utumishi wa umma na utawala bora Khamis Juma Maalim akiwa na Mrajisi wa mahakama Ali Ameir na Afisa Mdhamini wa wizara hiyo Pemba Massoud Ali Mohamed na mahakimu wakiwa kwenye ziara ya kuzitembelea mahakama za Wete na Konde, (Picha zote na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment