Habari za Punde

Ofisi ya mtakwimu mkuu yatoa taarifa ya mfumuko wa bei Zanzibar

 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Mfumuko wa bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mwanakwerekwe Zanzibar wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha bei Khamis Ahmada Shauri.
 Mkuu wa Kitengo cha Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Khamis Ahmada Shauri akielezea kuhusu Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016
 Meneja Msaidizi Idara ya Uchumi Benki Kuu Tawi la Zanzibar Evarist Mgangaluma akifafanua jambo kuhusiana na Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.Mwandishi mwandamizi kutoka ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika mkutano wa kuelezea Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.