Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Azungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Majimbo ya Pemba

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Majimbo ya Pembe na Vitu Maalum katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba na kuwapongeza kwa ushindi wao katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliopita na kutowa nasaha zake kwa Wawakilishi hao katika utekelezaji wa kuwasaidia Wananchi wa Majimbo yao.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo ya Chakechake Pemba, kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais  wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume. 
Baadhi ya Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia wakati wa mkutano wake na Wajumbe hao kuwapa shukrani kwa ushindi wao katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika. mkutano huo umefanyika Ikulu Ndogo Chakechake Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Wanawake wa UWT kuwapa shukrani kwa kushiriki kwao katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.. 
Mke wa Rais wa Kwanxza wa Zanzibar Mama Fatma Karume, akitowa nasaha zake kwa Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba wakati akizungumza na Wajumbe hao katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. 
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman akizungumza na Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba na Viti Maalum katika mkutano na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. 
Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Pemba Mhe Shehe Hamad Mattar akitowa shukrani kwa niaba ya wawakilishi wezake wakati wa mkutano huo na kutowa mchanga wake kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika Ikulu ndogo Chakechake Pemba.
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbe Mhe Ali Khamis akichangia wakati wa mkutano huo na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,katika mkutano uliofanyika Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. 
Mwakilishi wa Jimbo la Wete Pemba na Naibu wa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleiman akichangia wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
Mwakilishi kupitia Nafasi za Vijana Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Zulfa Mmaka akichangia wakati wa mkutano huo na Mke wa Rais wa Zanzibar nas Umoja wa Wawake wa Wawakilishi na Wabunge wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, uliowakutanisha Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba wa CCM. 
Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Pembe Mhe. Suleiman Sarahani akichangia wakati wa mkutano huo na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Katibu wa CCM Kusini Pemba Ndg Makame Mbarouk akitoa shukrani wakati wa mkutano huo na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, alipozungumza na Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba na wa Viti Maalum uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume, wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Majimbo ya Pemba.   
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume wakiwa katika picha ya pamoja na Umoja wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge wa CCM, baada ya mkutano huo Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.