Habari za Punde

Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Mahfali ya kumi na nne (14) ya Chuo Kikuu cha Tunguu -Zanzibar University

 Rais wa Zanzibar na mMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.

 Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016. 

  Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.
 Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.
 Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.

 Walimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.
 Walimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikatI) na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.

 Baadhi ya wahitimu katika Mahfali ya kumi na nne (14) ya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika sherehe za Kutunukiwa Vyeti,Diploma,Stashahada,na Shahada na nyenginezo zilizofanyika leo katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein,(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]07/12/2016.
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal alipokuwa  alipokuwa akiwatunuku Stashahad na Shada wahitimu katika fani mbali mbali  wa mwaka 2016 wakati wa sherehe ya Mahfali  ya kumi na nne yaliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]07/12/2016.

 Baadhi ya waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya kumi na nne katika Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein,(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 07/12/2016.  

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal wakati wa sherehe ya Mahfali  ya kumi na nne iliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]07/12/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe ya mahfali ya kumi na nne (14) katika Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia) Prof.Saleh Idriss Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo na (kushoto)  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal, [Picha na Ikulu.]07/12/2016.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal (kulia) baada ya kumalizika kwa  sherehe ya Mahfali  ya kumi na nne yaliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,wengine (kushoto)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idrissa Muslim Hija na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu.]07/12/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi mbali m,bali na Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,wakati wa  sherehe ya Mahfali  ya kumi na nne yaliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]07/12/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.