Habari za Punde

SSRA Yapata Tunzo ya NBAA ya Utunzaji Bora wa Mahesabu


MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) yatwaa ushindi wa NBAA katika utunzaji bora wa mahesabu kwa mwaka 2014/15. SSRA imekuwa mshindi wa pili kati ya Mamlaka za Udhibiti zinazotumia viwango vya Kimataifa vya mahesabu ya Taasisi za Umma (IPSAS)

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bibi. Irene Isaka akipokea Tuzo ya NBAA ya utunzaji bora wa mahesabu ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Mwenyekiti wa Bodi ya SSRA Bw. Juma A Muhimbi aliyeshikilia Tuzo ya NBAA baada ya SSRA kuibuka mshindi katika utunzaji bora wa mahesabu wengine pichani ni watumishi wa Mamlaka.
Bw. Juma Muhimbi, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii akimpongeza Bibi. Irene Isaka, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA. 
Bi. Latifa Mazengo, akiwa ameshikilia Tuzo hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bibi Irene Isaka akiwa pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.