Habari za Punde

Uzinduzi wa Safari za Ndege za Shirika la Uturuki Zanzibar leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Ndege ya Shirika la Ndege la Turkish Airlines ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ikiwa safari yake ya kwanza kuzinduliwa Zanzibar ikitokea moja kwa moja kutoka Uturuki hadi Zanzibar ikiwa na abiria 150 ikipokelewa kwa kumwagiwa maji na magari ya faya wakati ikiwasili katika uwanja huo leo asubuhi. 
Ndege ya Turkish Airlines ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa Uzinduzi wake leo kuaza safari zake kutoka Uturuki hadi Zanzibar.
Board Member Turkish Airlines Mr. Ogun Sanlier na kulia na Turkish Airlines Chief Marketing Officer Mr. Ahmet Olmustur wakishuka katika ndege baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa uzinduzi wa Ndege hiyo kutoka Nchini Uturuki na Zanzibar,  Uzinduzi huo umefanyika leo Zanzibar. 
Board Member Turkish Airlines Mr. Ogun Sanlier na kulia na Turkish Airlines Chief Marketing Officer Mr. Ahmet Olmustur wakishuka katika ndege baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa uzinduzi wa Ndege hiyo kutoka Nchini Uturuki na Zanzibar,  Uzinduzi huo umefanyika leo Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Mustafa Aboud Jumbe kulia Board Member wa Turkish Airlines Mr. Ogun Sanlier na kushoto Chief Marketing Officer Turkish Airlines Mr Ahmet Olmustur na Viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Safari za moja kwa moja za Shirika la Ndege la Turkish Airlines kutoka Uturuki hadi Zanzibar uzinduzi huo umefanyika leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, baada ya kuwasili ndege hiyo kutoka Nchini Uturuki asubuhi 13-12-2016. 
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Mustafa Aboud Jumbe kulia Board Member wa Turkish Airlines Mr. Ogun Sanlier na kushoto Chief Marketing Officer Turkish Airlines Mr Ahmet Olmustur na Viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Safari za moja kwa moja za Shirika la Ndege la Turkish Airlines kutoka Uturuki hadi Zanzibar uzinduzi huo umefanyika leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, baada ya kuwasili ndege hiyo kutoka Nchini Uturuki asubuhi


Watalii kutoka Uturuki wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo asubuhi ikitokea Nchini Uturuki moja kwac moja hadi Zanzibar., imewasili Zanzibar majira ya saa tatu kasorobo kwa saa za afrika mashariki. 
Watalii wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume wakitokea Nchini Uturuki Kikundi cha sanaa wakicheza ngoma ya Mwanandege wakati wa uzinduzi wa Ndege hiyo leo.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Turkish Airlines wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa safari za Ndege za Shirika hilo kutoka Uturuki hadi Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Balozi Ali Karume akizungumza na Viongozi wa Turkish Airlines wakati wa uzinduzi wa Ndege hiyo uliofanyika leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kulia Board Member Turkish Airlines Mr. Ogun Sanlier na kushoto Cheif Marketing Officer Mr. Ahmet Olmustur wakizungumza wakati wa uzinduzi huo, uliofanyika leo  katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. 
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Balozi Ali Karume akizungumza na  Board Member Turkish Airlines Mr. Ogun Sanlier wakati wa uzinduzi huo, uliofanyika leo  katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.