Baadhi ya Watendaji wa Vyama vya Kuweka na kukopa Pemba na Wadau wengine wa fedha wakimsikiliza kwa makini , mkuuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, akitowa nsaha zake katika ufunguzi wa
warsha ya MIVARF.
Baadhi ya Watendaji wa Vyama vya Kuweka na kukopa Pemba na Wadau wengine wa fedha wakimsikiliza kwa makini , mkuuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, akitowa nsaha zake katika ufunguzi wa
warsha ya MIVARF.
Mtaalamu wa huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) Kutoka Tanzania bara akitowa ufafanuzi wa mpango huo, katika warsha ya Watendaji wa Saccos Kisiwani Pemba, huko madungu chake chake Pemba.
Ofisa mdhamini Wizara ya Kazi , Uwezeshaji , Wazee, Vijana, wanawake na watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab , akizungumza machache na kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk,Khatib, kufunguwa warsha ya tathmini ya Mivarf huko katika ukumbi wa Skuli ya Madungu Chake Chake Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akifunguwa warsha ya Tathmini ya uteklezaji wa mpango wa kuimarisha huduma za fedha Vijijini (MIVARF), huko katika ukumbi wa skuli ya sekondari Madungu Chake Chake.
Mtaalamu wa huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) Kutoka Tanzania bara akitowa ufafanuzi wa mpango huo, katika warsha ya Watendaji wa Saccos Kisiwani Pemba, huko madungu chake chake Pemba.Picha na Bakar Mussa-Pemba
No comments:
Post a Comment